
News
CAG Kichere: Tunafanyia kazi taarifa za wanahabari
MDHIBITI na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere amesema, taarifa zinazoripotiwa na vyombo vya habari kuhusu ubadhirifu wa rasilimali za umma, hufuatiliwa kwa karibu na taasisi yake. “Taarifa zenu huwa tunazitumia kupata […]