Mwenyekiti TEF asaini kitabu cha maombolezo kifo cha Malkia Elizabeth II

Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Deodatus Balile akisaini kitabu cha maombolezo ya kifo cha Malkia Elizabeth wa Uingereza katika Ubalozi wa Uingereza, jijini Dar es Salaam, Septemba 19, 2022.

Balozi wa Uingereza nchini Tanzania, David Concar (mwenye shati jeupe) na maafisa wengine wa ubalozi wakizungumza na Mwenyekiti wa TEF, Deodatus Balile baada ya kusaini kitabu cha maombolezo ya kifo cha Malkia Elizabeth II katika Ubalozi wa Uingereza, jijini Dar es Salaam.

 

 

Tangaza nasi

Be the first to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.


*