• Home
  • News
  • Events
  • Document
  • Membership
  • Gallery
  • Facebook
  • Twitter
  • Instagram
News Ticker
  • [ May 25, 2023 ] MISA TAN yapongeza serikali kuelekea uhuru wa habari News
  • [ May 19, 2023 ] Sera ya Habari itakuwa moja – Nape News
  • [ May 16, 2023 ] ‘PPP ilianzishwa kukabili mikataba mibovu’ News
  • [ May 12, 2023 ] Kalinaki, Balile kuongoza wahariri Afrika Mashariki News
  • [ May 5, 2023 ] Tz ina mazingira mazuri kulinda haki za watoto- UNICEF News
HomeNews

News

News

MISA TAN yapongeza serikali kuelekea uhuru wa habari

May 25, 2023 Yusuph Katimba 0

MWENYEKITI wa Taasisi ya Vyombo vya Habari Kusini mwa Afrika Tawi la Tanzania (MISA Tanzania), Salome Kitomari amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuchukua hatua kuelekea uhuru wa wanahabari kutekeleza majukumu yao bila vikwazo. Ametoa […]

News

Sera ya Habari itakuwa moja – Nape

May 19, 2023 Yusuph Katimba 0

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema, miongoni mwa mambo yanayotarajiwa kutekelezwa katika bajeti ya wizara hiyo ya mwaka 2023/2024 ni kuwa na sera moja inayosimamia habari na utangazaji. Nape ametoa […]

News

‘PPP ilianzishwa kukabili mikataba mibovu’

May 16, 2023 Yusuph Katimba 0

KAMISHNA wa Idara ya Ubia kati ya Sekta ya Umma  na Sekta Binafsi (PPP), David Kafulila amesema msukumo wa kuunda taasisi hiyo ulitokana na kuwepo kwa mikataba mibovu kati ya serikali na sekta binafsi. Kafulila […]

News

Kalinaki, Balile kuongoza wahariri Afrika Mashariki

May 12, 2023 Yusuph Katimba 0

JUMUIYA ya Wahariri Afrika Mashariki imemchagua Daniel Kalinaki wa Jukwaa la Wahariri Uganda kuwa Rais wa Jumuiya ya Wahariri Afrika Mashariki kuanzia Mei 12, 2023, ambapo ataongoza kwa mwaka mmoja. Deodatus Balile, ambaye ni Mwenyekiti […]

News

Tz ina mazingira mazuri kulinda haki za watoto- UNICEF

May 5, 2023 Yusuph Katimba 0

Naysan Sahba, Mkurugenzi Mkuu wa Mawasiliano wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF), amesema Tanzania ina mazingira mazuri ya kulinda haki za watoto. Sahba ametoa kauli hiyo leo tarehe 5 Mei 2023 […]

News

Rais Mwinyi: Tunaheshimu uhuru wa habari

May 3, 2023 Yusuph Katimba 0

DAKTARI Hussein Ali Mwinyi, Rais wa Zanzibari amesema, Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) ile ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, zinaheshimu uhuru wa habari. Ametoa kauli hiyo leo tarehe 3 Mei 2023, katika kilele cha […]

News

‘Nilipofungia Gazeti la Uhuru, Raia Mwema nilijisikia vibaya’

May 2, 2023 Yusuph Katimba 0

Msemaji wa Serikali, Gerson Msigwa amesema katika maisha yake ya uandishi wa habari, siku aliyojisikia vibaya zaidi ni aliyofungia gazeti la Rais Mwema na Uhuru. Msigwa ametoa kauli hiyo leo ikiwa ni siku ya pili […]

News

Uhuru wa habari umeimarika- TAMWA

May 1, 2023 Yusuph Katimba 0

Mwenyekiti wa Chama cha Wanahabari Wanawake Tanzania (TAMWA), Joyce Shebe amesema, uhuru wa habari nchini kwa kiwango chake umeimarika. Joyce ametoa kauli hiyo leo tarehe 1 Mei 2023, visiwani Zanzibar wakati akitoa hotuba yake mbele […]

News

‘TEF inaamini katika diplomasia’

April 27, 2023 Yusuph Katimba 0

MWENYEKITI wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Deodatus Balile amesema, katika harakati za kupigania marekebisho ya sheria rafiki kwa vyombo vya habari, TEF inaamini katika njia za kidiplomasia. Balile ametoa kauli hiyo kwenye mkutano wa […]

News

Jipangeni wanahabari – Ndungulile

April 26, 2023 Yusuph Katimba 0

WADAU wa Haki ya Kupata Habari (CoRI), wameshauriwa kujipanga kwa hoja na mifano pale watakapokutana na wabunge kwa ajili ya kutoa ufafanuzi kuhusu mabadiliko ya sheria ya habari wanayoyataka. Kauli hiyo ilitolewa na Faustine Ndungulile, […]

Posts navigation

1 2 … 8 »

tangaza nasi hapa

Tufuatilie faceook

Makala

  • MISA TAN yapongeza serikali kuelekea uhuru wa habari
    May 25, 2023 0
  • Mkutano wa Sita wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF)
    November 7, 2020 0
  • Mkutano wa Sita wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF)
    May 15, 2022 0
  • CAG Kichere: Tunafanyia kazi taarifa za wanahabari
    May 30, 2022 0
  • Waziri Mabula akutana na wahariri, aeleza mwelekeo mpya
    June 7, 2022 0

Mwandishi

  • Yusuph Katimba

    published 76 articles

  • abdimuna

    published 3 articles

  • Benjamin Machele

    published 2 articles

Habari

Mawasiliano yetu:

Zanaki Street
Plot No.2285/7
Opp CCM Office,
Mtendeni Branch
P.O.Box 75206
Dar es Salaam, Tanzania
Tel: +255 22 2123236
Mob: +255 755 922 037
Email: tanzaniaeditorsforum2008@gmail.com

Facebook
Twitter
Instagram
Maoni hivi karibuni
June 2023
M T W T F S S
 1234
567891011
12131415161718
19202122232425
2627282930  
« May    

Dautechnolgy LTD,Designed by: Dau Technology LTD, info@dautechnology.co.tz