• Home
  • News
  • Events
  • Document
  • Membership
  • Gallery
  • Facebook
  • Twitter
  • Instagram
News Ticker
  • [ March 23, 2023 ] Mchakato Sheria ya Habari wamgusa Balozi wa Uholanzi Gallery
  • [ March 20, 2023 ] Aina saba za fidia WCF News
  • [ March 17, 2023 ] Muswada wa Habari kusomwa tena Aprili – Nape News
  • [ March 13, 2023 ] Wadau waanza kuchakata Muswada Sheria wa Habari News
  • [ March 8, 2023 ] Siku ya Wanawake: Rais Samia ameiinua tasnia ya habari – Ado Shaibu News
HomeEvents

Events

Events

Wanachama TEF wakutana kujadili kazi za taasisi yao

October 15, 2022 Yusuph Katimba 0

WANACHAMA wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), wamekutana kujadilia na kupitia kazi mbalimbali za jukwaa hilo. Mkutano huo umefanyika jijini Dare es Salaam tarehe 15 Oktoba 2022 katika Ukumbi wa Hoteli ya Peacock, ambapo zaidi […]

Events

Nape: Mamlaka Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo yapunguzwe

August 25, 2022 Yusuph Katimba 0

NAPE Nnauye, Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari ameungana na wadau wa habari nchini kwa kutaka madaraka ya Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo yapunguzwe. “Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo tunataka madaraka […]

Events

Mchakato mabadiliko sheria za habari ulianza mapema – Meena

August 17, 2022 Yusuph Katimba 0

NEVILLE Meena, Mjumbe wa Kamati Tendaji ya Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), ametembelea vyombo vya habari vya Nyemo FM na Mwangaza FM jijini Dodoma, kuelezea mchakato wa mabadiliko ya sheria za habari nchini. Kwenye mazungumzo […]

Events

‘Sheria ya Uhalifu Mtandaoni inaminya uhuru wa habari’

July 20, 2022 Yusuph Katimba 0

KUTUNGWA kwa Sheria ya Uhalifu wa Mtandaoni Mwaka 2015, kumeweka mazingira ya wahariri na wamiliki wa vyombo vya habari vya mtandaoni katika hatari kubwa. Sheria hii imekuja kuminya uhuru wa habari na si kuimarisha. Kauli […]

Events

Waziri Mabula akutana na wahariri, aeleza mwelekeo mpya

June 7, 2022 abdimuna 0

KUANZIA sasa, taasisi ama mtu yeyote anayetaka kutwaa maeneo ya ardhi kwa uwekezaji wowote, lazima awe na pesa mkononi za kukabidhi ama kuwalipa wenye maeneo yao hapo kwa hapo ili kuondoa migogoro. Ni kauli ya […]

Events

Mkutano wa Sita wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF)

May 15, 2022 abdimuna 0

Baadhi ya Wahariri wakitoka katika nyumba za makazi zilizopo Fumba, Unguja zilizojengwa na Said Bakhresa. Wahariri walifanya ziara katika nyumba hizo baada ya kumaliza Mkutano Mkuu wa Sita wa Jukwaa hilo Zanzibar.

No Picture
Events

Events

May 15, 2022 abdimuna Comments Off on Events
Events

Mkutano wa Sita wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF)

November 6, 2020 Benjamin Machele 0

  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza kwenye Mkutano Mkuu wa Jukwaa la Whariri Tanzania (TEF) uliofanyika Zanzibar tarehe 9 Machi 2022.

tangaza nasi hapa

Tufuatilie faceook

Makala

  • Mchakato Sheria ya Habari wamgusa Balozi wa Uholanzi
    March 23, 2023 0
  • Mkutano wa Sita wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF)
    November 7, 2020 0
  • Mkutano wa Sita wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF)
    May 15, 2022 0
  • CAG Kichere: Tunafanyia kazi taarifa za wanahabari
    May 30, 2022 0
  • Waziri Mabula akutana na wahariri, aeleza mwelekeo mpya
    June 7, 2022 0

Mwandishi

  • Yusuph Katimba

    published 56 articles

  • abdimuna

    published 3 articles

  • Benjamin Machele

    published 2 articles

Habari

Mawasiliano yetu:

TEF | Tanzania Editors Forum

Simu: +255 755 922 037
Email: info@tef.org.tz

Facebook
Twitter
Instagram
Maoni hivi karibuni
March 2023
M T W T F S S
 12345
6789101112
13141516171819
20212223242526
2728293031  
« Feb    

Dautechnolgy LTD,Designed by: Dau Technology LTD, info@dautechnology.co.tz