• Home
  • News
  • Events
  • Document
  • Membership
  • Gallery
  • Facebook
  • Twitter
  • Instagram
News Ticker
  • [ January 11, 2023 ] Wahariri watembelea kiwanda cha mbolea News
  • [ January 5, 2023 ] Muswada Sheria ya Habari hatua kwa hatua News
  • [ December 31, 2022 ] Tuzo UNICEF Gallery
  • [ December 31, 2022 ] UNICEF: Mabinti wasiolewe chini ya miaka 18 News
  • [ December 19, 2022 ] Dk. Mpango: Hatuwezi kuruhusu hili liendelee News
HomeAuthorsYusuph Katimba

Articles by Yusuph Katimba

News

Wahariri watembelea kiwanda cha mbolea

January 11, 2023 Yusuph Katimba 0

WAHARIRI wa vyombo vya habari nchini, wamefanya ziara katika Kiwanda cha Kuzalisha Mbolea Asili cha ITRACOM, kilichopo nje kidogo ya Mkoa wa Dodoma. Ziara hiyo imefanyika leo tarehe 11 Januari 2023, ikiwa ni siku baada […]

News

Muswada Sheria ya Habari hatua kwa hatua

January 5, 2023 Yusuph Katimba 0

DEODATUS Balile, Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), amesema anatarajia Muswada wa Mabadiliko ya Sheria ya Habari utasomwa bungeni Januari mwaka 2023. Akizungumzia hatua mbalimbali ziliopitiwa na zijazo leo tarehe 4 Januari 2022, Balile […]

No Picture
Gallery

Tuzo UNICEF

December 31, 2022 Yusuph Katimba 0
News

UNICEF: Mabinti wasiolewe chini ya miaka 18

December 31, 2022 Yusuph Katimba 0

OUSMANE Niang, Naibu Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto, Tawi la Tanzania (UNICEF – Tanzania), ameshauri kuongezwa kasi ya kampeni ya kuzuia mabinti chini ya umri wa miaka 18 kuolewa. […]

News

Dk. Mpango: Hatuwezi kuruhusu hili liendelee

December 19, 2022 Yusuph Katimba 0

MAKAMU wa Rais, Dk. Philip Mpango amesema, kuna baadhi ya viongozi kwa maslahi yao binafsi wanachangia katika uharibifu wa mazingira. Dk. Mpango ametoa kauli hiyo leo tarehe 19 Desemba 2022, Iringa katika Kongamano la Wahariri […]

News

‘Serikali imekuwa wazi mabadiliko ya sheria habari’

December 14, 2022 Yusuph Katimba 0

DEOGRATIUS Nsokolo, Rais wa Muungano wa Klabu za Waandishi wa Habari amesema, serikali imekuwa wazi katika mchakato wa mabadiliko sheria ya habari. Nsokolo alitoa kauli hiyo leo wakati akitoa maoni yake na kwamba, maendeleo ya […]

News

Mapendekezo sheria ya habari kutinga bungeni

December 7, 2022 Yusuph Katimba 0

MAPENDEKEZO ya Sheria ya Habari yanatarajiwa kufikishwa bungeni mwakani kuelekea mabadiliko ya sheria hizo. Ni kauli ya Gerson Msigwa, Msemaji wa Serikali, Gerson Msigwa aliyoitoa wakati akifungua mkutano wa Klabu za Waandishi wa Habari nchini […]

News

UNHCR: Wakimbizi wapewe fursa uzalishaji mali

November 24, 2022 Yusuph Katimba 0

AFISA Muhifadhi Wakimbizi Mwandamizi kutoka Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi (UNHCR), nchini Tanzania Boniface Kinyanjui ameshauri serikali iweke mazingira mazuri ya kuruhusu wakimbizi kuzalisha mali ama kutoa huduma katika jamii kwa kuwa, wapo wenye ujuzi. […]

News

Serikali: Tumepokea maoni ya wadau wa habari

November 21, 2022 Yusuph Katimba 0

NAPE Nnauye, Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari amewahakikishia wadau wa habari kwamba, serikali itakamilisha mchakato wa mabadiliko ya vipengele vya sheria ya habari. Kwenye kikao chake na wadau wa Haki ya Kupata […]

News

Wabunge, CoRI wateta mabadiliko sheria ya habari

November 10, 2022 Yusuph Katimba 0

WADAU wa Haki ya Kupata Habari nchini (CoRI), wamekutana na kufanya mazungumzo na baadhi ya wabunge, kwa lengo la kuongeza ufahamu kuhusu mapendekezo ya mabadiliko ya sheria ya habari. Kikao hicho kimefanyika jijini Dodoma tarehe […]

Posts navigation

1 2 … 5 »

tangaza nasi hapa

Tufuatilie faceook

Makala

  • Wahariri watembelea kiwanda cha mbolea
    January 11, 2023 0
  • Mkutano wa Sita wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF)
    November 7, 2020 0
  • Mkutano wa Sita wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF)
    May 15, 2022 0
  • CAG Kichere: Tunafanyia kazi taarifa za wanahabari
    May 30, 2022 0
  • Waziri Mabula akutana na wahariri, aeleza mwelekeo mpya
    June 7, 2022 0

Mwandishi

  • Yusuph Katimba

    published 45 articles

  • abdimuna

    published 3 articles

  • Benjamin Machele

    published 2 articles

Habari

Mawasiliano yetu:

TEF | Tanzania Editors Forum

Simu: +255 755 922 037
Email: info@tef.org.tz

Facebook
Twitter
Instagram
Maoni hivi karibuni
January 2023
M T W T F S S
 1
2345678
9101112131415
16171819202122
23242526272829
3031  
« Dec    

Dautechnolgy LTD,Designed by: Dau Technology LTD, info@dautechnology.co.tz