
Wizara Sheria na Katiba yapiga msasa wahariri
Wizara ya Sheria na Katiba nchini, imeendesha warsha kwa wahariri wa vyombo vya habari kuhusu kanuni za ulinzi wa watoa taarifa na mashahidi. Warsha hiyo ya siku moja imefanyika leo tarehe 24 Juni 2023, mkoani […]