
MISA TAN yapongeza serikali kuelekea uhuru wa habari
MWENYEKITI wa Taasisi ya Vyombo vya Habari Kusini mwa Afrika Tawi la Tanzania (MISA Tanzania), Salome Kitomari amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuchukua hatua kuelekea uhuru wa wanahabari kutekeleza majukumu yao bila vikwazo. Ametoa […]