
‘TEF inaamini katika diplomasia’
MWENYEKITI wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Deodatus Balile amesema, katika harakati za kupigania marekebisho ya sheria rafiki kwa vyombo vya habari, TEF inaamini katika njia za kidiplomasia. Balile ametoa kauli hiyo kwenye mkutano wa […]