
News
Kongamano la TEF kupitia Muswada Sheria ya Habari
JUKWAA la Wahariri Tanzania (TEF), limepanga kujalidi Muswada wa Mabadiliko ya Sheria ya Huduma za Habari kwenye kongamano lake litaloanza tarehe 29 – 31 Machi 2023, mjini Morogoro. Muswada huo uliwasilishwa bungeni tarehe 10 Februari […]