
News
Balozi Uholanzi amsifu rais mabadiliko Sheria ya Habari
Balozi wa Uholanzi nchini, Wiebe de Boer amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kuweka mazingira wezeshi kwa waandishi wa habari kufanya kazi kwa uhuru na weledi unaotakiwa. Balozi Boer ametoa kauli hiyo alipokutana na viongozi wa […]