
News
Muswada wa Habari kusomwa tena Aprili – Nape
NAPE Nnauye, Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari amesema, anatarajia bunge lijalo (Bunge la Aprili) litasoma Muswada wa Mabadiliko ya Sheria ya Hudumna za Habari kwa mara ya pili. Amesema, watu wengi walitarajia […]