
News
Wadau waanza kuchakata Muswada Sheria wa Habari
WADAU wa habari nchini, wameanza kukutana ili kuchakata Mapendekezo ya Muswada wa Madiliko ya Sheria ya Huduma za Habari nchini. Wakati leo tarehe 13 Machi 2023, Baraza la Habari Tanzania (MCT), likikutana na wadau wengine […]