
Tumemwambia Nape, tutarudi kwake – Balile
DEODATUS Balile, Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) amesema, licha ya sehemu ya mapendekezo ya wadau kutoingizwa kwenye Muswada wa Marekebisho ya Sheria ya Huduma za Habari, bado yaliyomo yanahitajika. Akizungumza kwenye Kongamano la […]