
Muswada Mabadiliko ya Sheria ya Habari ‘kulainishwa’
MUSWADA wa Mabadiliko ya Sheria ya Huduma za Habari uliowasilishwa bungeni tarehe 10 Februari 2023, utachambuliwa kwa lugha ya Kiswahili ili ueleweke zaidi. Kauli hiyo ilitolewa na Deus Kibamba, Mhadhiri wa Masuala ya Diplomasia ambaye […]