
News
Muswada Sheria ya Habari hatua kwa hatua
DEODATUS Balile, Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), amesema anatarajia Muswada wa Mabadiliko ya Sheria ya Habari utasomwa bungeni Januari mwaka 2023. Akizungumzia hatua mbalimbali ziliopitiwa na zijazo leo tarehe 4 Januari 2022, Balile […]