• Home
  • News
  • Events
  • Document
  • Membership
  • Gallery
  • Facebook
  • Twitter
  • Instagram
News Ticker
  • [ July 31, 2023 ] UTT: Kuna fursa kubwa ya uwekezaji huku kwetu News
  • [ July 4, 2023 ] ‘Wekeni mikakati kulinda Kiswahili’ News
  • [ June 24, 2023 ] Wizara Sheria na Katiba yapiga msasa wahariri News
  • [ June 19, 2023 ] Serikali yaandaa mikakati kukabiliana na mabadiliko tabianchi News
  • [ June 14, 2023 ] Jaji Feleshi: Lengo taaluma ya habari kuwa kama zingine News
Home2023

Year: 2023

News

UTT: Kuna fursa kubwa ya uwekezaji huku kwetu

July 31, 2023 Yusuph Katimba 0

MKURUGENZI Mtendaji wa Taasisi ya Uwekezaji nchini UTT AMIS, Simon Migangala ametoa wito kwa Watanzania kuwekeza mitaji yao kwenye taasisi hiyo kwa kuwa, kuna manufaa makubwa na ya haraka kulingana na malengo. Ametoa kauli hiyo […]

News

‘Wekeni mikakati kulinda Kiswahili’

July 4, 2023 Yusuph Katimba 0

MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman Abdullah amewataka wahiriri wakuu wa vyombo vya habari nchini kuweka mikakati madhubuti ya kuzuia dosari katika matumizi ya Kiswahili kwa kujua au kutojua. Amesema licha ya […]

News

Wizara Sheria na Katiba yapiga msasa wahariri

June 24, 2023 Yusuph Katimba 0

Wizara ya Sheria na Katiba nchini, imeendesha warsha kwa wahariri wa vyombo vya habari kuhusu kanuni za ulinzi wa watoa taarifa na mashahidi. Warsha hiyo ya siku moja imefanyika leo tarehe 24 Juni 2023, mkoani […]

News

Serikali yaandaa mikakati kukabiliana na mabadiliko tabianchi

June 19, 2023 Yusuph Katimba 0

Serikali imesema, imeandaa hatua na mikakati madhubuti yenye kuibua fursa za miradi ya kijamii kwa wananchi, ikiwemo kanuni na mwongozo wa biashara ya kaboni ikiwa ni njia mbadala ya kukabiliana na athari za mabadiliko ya […]

News

Jaji Feleshi: Lengo taaluma ya habari kuwa kama zingine

June 14, 2023 Yusuph Katimba 0

Mwanasheria Mkuu wa Serikali Dk. Eliezer Feleshi amesema, licha ya kelele nyingi katika sheria ya Huduma za Habari ya mwaka 2016, lakini lengo kuu ni kuifanya taaluma hiyo kuwa kama zilivyo vyingine. Mwanasheria Mkuu ametoa […]

News

Kilikua kilio cha muda mrefu – Nape

June 14, 2023 Yusuph Katimba 0

Marekebisho ya sheria ya Huduma ya Habari yaliyopitishwa leo tarehe 13 Juji 2023 na Bunge, yamekuja baada ya kilio cha muda mrefu tangu sheria hiyo ilipotungwa mwaka 2016. Kwa wakati wote, wadau wa habari  wamekuwa […]

News

BRELA yatoa somo ‘Umiliki Manufaa’ kwa Wahariri

June 8, 2023 Yusuph Katimba 0

Kampuni zote zilizosajiliwa Tanzania, baada ya siku 30 lazima ziwasilishe majina ya wanufaa wake ‘Umiliki Manufaa’. Hili ni hitajio la kisheria. Ni kauli ya Kaimu Mkurugenzi wa Kampuni na Majina ya Biashara kutoka Wakala wa […]

News

Wahariri wapata somo upungufu wa dola nchini

June 6, 2023 Yusuph Katimba 0

BENKI Kuu ya Tanzania (BoT), imeeleza sababu ya kupungua kwa fedha za nje hususani Dola ya Marekani (USD) nchini, kwamba ni kutokana na nchi hiyo kuongeza riba kwenye soko lake. Mkurugenzi wa Kurugenzi ya Tafiti […]

News

MISA TAN yapongeza serikali kuelekea uhuru wa habari

May 25, 2023 Yusuph Katimba 0

MWENYEKITI wa Taasisi ya Vyombo vya Habari Kusini mwa Afrika Tawi la Tanzania (MISA Tanzania), Salome Kitomari amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuchukua hatua kuelekea uhuru wa wanahabari kutekeleza majukumu yao bila vikwazo. Ametoa […]

News

Sera ya Habari itakuwa moja – Nape

May 19, 2023 Yusuph Katimba 0

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema, miongoni mwa mambo yanayotarajiwa kutekelezwa katika bajeti ya wizara hiyo ya mwaka 2023/2024 ni kuwa na sera moja inayosimamia habari na utangazaji. Nape ametoa […]

Posts navigation

1 2 … 5 »

tangaza nasi hapa

Tufuatilie faceook

Makala

  • UTT: Kuna fursa kubwa ya uwekezaji huku kwetu
    July 31, 2023 0
  • Mkutano wa Sita wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF)
    November 7, 2020 0
  • Mkutano wa Sita wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF)
    May 15, 2022 0
  • CAG Kichere: Tunafanyia kazi taarifa za wanahabari
    May 30, 2022 0
  • Waziri Mabula akutana na wahariri, aeleza mwelekeo mpya
    June 7, 2022 0

Mwandishi

  • Yusuph Katimba

    published 84 articles

  • abdimuna

    published 3 articles

  • Benjamin Machele

    published 2 articles

Habari

Mawasiliano yetu:

Zanaki Street
Plot No.2285/7
Opp CCM Office,
Mtendeni Branch
P.O.Box 75206
Dar es Salaam, Tanzania
Tel: +255 22 2123236
Mob: +255 755 922 037
Email: tanzaniaeditorsforum2008@gmail.com

Facebook
Twitter
Instagram
Maoni hivi karibuni
September 2023
M T W T F S S
 123
45678910
11121314151617
18192021222324
252627282930  
« Jul    

Dautechnolgy LTD,Designed by: Dau Technology LTD, info@dautechnology.co.tz