
AG Feleshi: Tupo pamoja mabadiliko ya sheria ya habari
JAJI Eliezer Feleshi, Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), amesema yupo pamoja na wanahabari katika safari ya mabadiliko ya sheria zinazohusu tasnia ya habari nchini. Ametoa kauli hiyo leo tarehe 13 Juni 2022, ofisini kwake bungeni, […]