
Wadau wa habari wateta na mbunge Jerry
SHERIA za habari nchini haziwezi kubaki kama zilivyo wakati dunia inakwenda mbele. Kauli hiyo ilitolewa na Jerry Silaa, Mbunge wa Ukonga kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), tarehe 8 Novemba 2022 wakati akizungumza na uongozi wa […]