
Month: December 2022


UNICEF: Mabinti wasiolewe chini ya miaka 18
OUSMANE Niang, Naibu Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto, Tawi la Tanzania (UNICEF – Tanzania), ameshauri kuongezwa kasi ya kampeni ya kuzuia mabinti chini ya umri wa miaka 18 kuolewa. […]

Dk. Mpango: Hatuwezi kuruhusu hili liendelee
MAKAMU wa Rais, Dk. Philip Mpango amesema, kuna baadhi ya viongozi kwa maslahi yao binafsi wanachangia katika uharibifu wa mazingira. Dk. Mpango ametoa kauli hiyo leo tarehe 19 Desemba 2022, Iringa katika Kongamano la Wahariri […]

‘Serikali imekuwa wazi mabadiliko ya sheria habari’
DEOGRATIUS Nsokolo, Rais wa Muungano wa Klabu za Waandishi wa Habari amesema, serikali imekuwa wazi katika mchakato wa mabadiliko sheria ya habari. Nsokolo alitoa kauli hiyo leo wakati akitoa maoni yake na kwamba, maendeleo ya […]

Mapendekezo sheria ya habari kutinga bungeni
MAPENDEKEZO ya Sheria ya Habari yanatarajiwa kufikishwa bungeni mwakani kuelekea mabadiliko ya sheria hizo. Ni kauli ya Gerson Msigwa, Msemaji wa Serikali, Gerson Msigwa aliyoitoa wakati akifungua mkutano wa Klabu za Waandishi wa Habari nchini […]