
UNHCR: Wakimbizi wapewe fursa uzalishaji mali
AFISA Muhifadhi Wakimbizi Mwandamizi kutoka Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi (UNHCR), nchini Tanzania Boniface Kinyanjui ameshauri serikali iweke mazingira mazuri ya kuruhusu wakimbizi kuzalisha mali ama kutoa huduma katika jamii kwa kuwa, wapo wenye ujuzi. […]