• Home
  • News
  • Events
  • Document
  • Membership
  • Gallery
  • Facebook
  • Twitter
  • Instagram
News Ticker
  • [ July 31, 2023 ] UTT: Kuna fursa kubwa ya uwekezaji huku kwetu News
  • [ July 4, 2023 ] ‘Wekeni mikakati kulinda Kiswahili’ News
  • [ June 24, 2023 ] Wizara Sheria na Katiba yapiga msasa wahariri News
  • [ June 19, 2023 ] Serikali yaandaa mikakati kukabiliana na mabadiliko tabianchi News
  • [ June 14, 2023 ] Jaji Feleshi: Lengo taaluma ya habari kuwa kama zingine News
Home2022September

Month: September 2022

News

Kuna haja ya kuendelea kupaza sauti – LHRC

September 28, 2022 Yusuph Katimba 0

Fulgence Massawe, Mkurugenzi wa Utetezi na Maboresho kutoka Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) amesema, wadau wa habari nchini kuna haja ya kuendelea kupaza sauti ili serikali ifanye mabadiliko stahiki. Kauli hiyo ilitolewa […]

News

Tumefika hatua nzuri – Serikali

September 20, 2022 Yusuph Katimba 0

GERSON Msigwa, Msemaji wa Serikali amesema, mchakato wa mabadiliko ya sheria ya habari nchini, umefika hatua nzuri. Msigwa alitoa kauli hiyo tarehe 19 Septemba 2022, alipoulizwa na mwandishi kuhusu hatua inayofikiwa baada ya kikao cha […]

News

Mwenyekiti TEF asaini kitabu cha maombolezo kifo cha Malkia Elizabeth II

September 19, 2022 Yusuph Katimba 0

Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Deodatus Balile akisaini kitabu cha maombolezo ya kifo cha Malkia Elizabeth wa Uingereza katika Ubalozi wa Uingereza, jijini Dar es Salaam, Septemba 19, 2022. Balozi wa Uingereza nchini […]

News

Itoshe kufungia vyombo vya habari – Meena

September 13, 2022 Yusuph Katimba 0

Neville Meena, Mjumbe wa Kamati Tendaji ya Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) amesema, sehemu ya sheria ya magazeti ya Mwaka 1976, imetumika kufungia magazeti kwa miaka 40 na kwamba, ‘kazi’ hiyo imepokewa na sheria ya […]

News

‘Tunatarajia Waziri Nape asimamie kauli yake’

September 8, 2022 Yusuph Katimba 0

JAMES Marenga, wakili wa kujitegemea amesema, licha ya serikali kujiandaa kuwasilisha Muswada wa Sheria ya Kulinda Taarifa Binafsi za Kimtandao, ingependeza mapendekezo ya wahadau wa habari kuhusu mabadiliko ya sheria za habari yakawasilishwa Bunge hili […]

tangaza nasi hapa

Tufuatilie faceook

Makala

  • UTT: Kuna fursa kubwa ya uwekezaji huku kwetu
    July 31, 2023 0
  • Mkutano wa Sita wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF)
    November 7, 2020 0
  • Mkutano wa Sita wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF)
    May 15, 2022 0
  • CAG Kichere: Tunafanyia kazi taarifa za wanahabari
    May 30, 2022 0
  • Waziri Mabula akutana na wahariri, aeleza mwelekeo mpya
    June 7, 2022 0

Mwandishi

  • Yusuph Katimba

    published 84 articles

  • abdimuna

    published 3 articles

  • Benjamin Machele

    published 2 articles

Habari

Mawasiliano yetu:

Zanaki Street
Plot No.2285/7
Opp CCM Office,
Mtendeni Branch
P.O.Box 75206
Dar es Salaam, Tanzania
Tel: +255 22 2123236
Mob: +255 755 922 037
Email: tanzaniaeditorsforum2008@gmail.com

Facebook
Twitter
Instagram
Maoni hivi karibuni
September 2022
M T W T F S S
 1234
567891011
12131415161718
19202122232425
2627282930  
« Aug   Oct »

Dautechnolgy LTD,Designed by: Dau Technology LTD, info@dautechnology.co.tz