
Mabadiliko sheria ya habari pia yanawahusu wana vyuo – Meena
MCHAKATO wa Mabadiliko ya Sheria ya Habari kamwe hauwezi kuwaacha nje wakuu wa Idara za Uandishi wa Habari, walimu kutoka Vyuo Vikuu na Vyuo vya Uandishi wa Habari nchini. Kauli hiyo imetolewa na Neville Meena, […]