
‘Uhuru wa habari ulindwe kisheria’
MWENYEKITI wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Deodatus Balile amesema, mchakato wa mabadiliko ya sheria kandamizi za habari nchini, haulengi upendeleo kwa wanahabari bali haki, wajibu na mazingira mazuri ya tasia hiyo. Akizungumza katika Kipindi […]