• Home
  • News
  • Events
  • Document
  • Membership
  • Gallery
  • Facebook
  • Twitter
  • Instagram
News Ticker
  • [ May 25, 2023 ] MISA TAN yapongeza serikali kuelekea uhuru wa habari News
  • [ May 19, 2023 ] Sera ya Habari itakuwa moja – Nape News
  • [ May 16, 2023 ] ‘PPP ilianzishwa kukabili mikataba mibovu’ News
  • [ May 12, 2023 ] Kalinaki, Balile kuongoza wahariri Afrika Mashariki News
  • [ May 5, 2023 ] Tz ina mazingira mazuri kulinda haki za watoto- UNICEF News
Home2022June

Month: June 2022

News

TEF yasikitishwa uvamizi meza za magazeti

June 22, 2022 Yusuph Katimba 0

JUKWAA la Wahariri Tanzania (TEF), limelaani vitendo vya askari wa Jiji la Dar es Salaam kunyanyasa na kupora meza za wauza magazeti. Taarifa ya jukwaa hilo leo tarehe 22 Juni 2022  imeeleza, wanamgambo hao walivamia […]

News

NBS: Sensa 2022 ni ya kidigitali

June 20, 2022 Yusuph Katimba 0

SENSA ya Watu na Makazi ya mwaka huu, itatumia zaidi vifaa vya kidigitali ili kupata takwimu sahihi. Akizungumza na wahariri wa vyombo vya habari nchini katika semina ya siku mbili iliyofanyika mkoani Morogoro, Saidi Amri, […]

News

AG Feleshi: Tupo pamoja mabadiliko ya sheria ya habari

June 17, 2022 Yusuph Katimba 0

JAJI Eliezer Feleshi, Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), amesema yupo pamoja na wanahabari katika safari ya mabadiliko ya sheria zinazohusu tasnia ya habari nchini. Ametoa kauli hiyo leo tarehe 13 Juni 2022, ofisini kwake bungeni, […]

No Picture
Document

Membership form

June 15, 2022 abdimuna 0

TEF membership form is now available ,TEF MEMBERSHIP FORM -1

News

Wanahabari wajadili makali Sheria ya Makosa ya Mtandaoni

June 10, 2022 Yusuph Katimba 0

WADAU wa habari nchini, wamependekeza kuwepo kwa mabadiliko makubwa katika Sheria ya Makosa ya Mtandaoni kutokana na kujikita zaidi kwenye dhana. Kauli hiyo ilitolewa kwenye mkutano wa wahariri wa vyombo vya habari mbalimbali nchini uliosimamiwa […]

Events

Waziri Mabula akutana na wahariri, aeleza mwelekeo mpya

June 7, 2022 abdimuna 0

KUANZIA sasa, taasisi ama mtu yeyote anayetaka kutwaa maeneo ya ardhi kwa uwekezaji wowote, lazima awe na pesa mkononi za kukabidhi ama kuwalipa wenye maeneo yao hapo kwa hapo ili kuondoa migogoro. Ni kauli ya […]

tangaza nasi hapa

Tufuatilie faceook

Makala

  • MISA TAN yapongeza serikali kuelekea uhuru wa habari
    May 25, 2023 0
  • Mkutano wa Sita wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF)
    November 7, 2020 0
  • Mkutano wa Sita wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF)
    May 15, 2022 0
  • CAG Kichere: Tunafanyia kazi taarifa za wanahabari
    May 30, 2022 0
  • Waziri Mabula akutana na wahariri, aeleza mwelekeo mpya
    June 7, 2022 0

Mwandishi

  • Yusuph Katimba

    published 76 articles

  • abdimuna

    published 3 articles

  • Benjamin Machele

    published 2 articles

Habari

Mawasiliano yetu:

Zanaki Street
Plot No.2285/7
Opp CCM Office,
Mtendeni Branch
P.O.Box 75206
Dar es Salaam, Tanzania
Tel: +255 22 2123236
Mob: +255 755 922 037
Email: tanzaniaeditorsforum2008@gmail.com

Facebook
Twitter
Instagram
Maoni hivi karibuni
June 2022
M T W T F S S
 12345
6789101112
13141516171819
20212223242526
27282930  
« May   Jul »

Dautechnolgy LTD,Designed by: Dau Technology LTD, info@dautechnology.co.tz