
Year: 2022


UNICEF: Mabinti wasiolewe chini ya miaka 18
OUSMANE Niang, Naibu Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto, Tawi la Tanzania (UNICEF – Tanzania), ameshauri kuongezwa kasi ya kampeni ya kuzuia mabinti chini ya umri wa miaka 18 kuolewa. […]

Dk. Mpango: Hatuwezi kuruhusu hili liendelee
MAKAMU wa Rais, Dk. Philip Mpango amesema, kuna baadhi ya viongozi kwa maslahi yao binafsi wanachangia katika uharibifu wa mazingira. Dk. Mpango ametoa kauli hiyo leo tarehe 19 Desemba 2022, Iringa katika Kongamano la Wahariri […]

‘Serikali imekuwa wazi mabadiliko ya sheria habari’
DEOGRATIUS Nsokolo, Rais wa Muungano wa Klabu za Waandishi wa Habari amesema, serikali imekuwa wazi katika mchakato wa mabadiliko sheria ya habari. Nsokolo alitoa kauli hiyo leo wakati akitoa maoni yake na kwamba, maendeleo ya […]

Mapendekezo sheria ya habari kutinga bungeni
MAPENDEKEZO ya Sheria ya Habari yanatarajiwa kufikishwa bungeni mwakani kuelekea mabadiliko ya sheria hizo. Ni kauli ya Gerson Msigwa, Msemaji wa Serikali, Gerson Msigwa aliyoitoa wakati akifungua mkutano wa Klabu za Waandishi wa Habari nchini […]

UNHCR: Wakimbizi wapewe fursa uzalishaji mali
AFISA Muhifadhi Wakimbizi Mwandamizi kutoka Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi (UNHCR), nchini Tanzania Boniface Kinyanjui ameshauri serikali iweke mazingira mazuri ya kuruhusu wakimbizi kuzalisha mali ama kutoa huduma katika jamii kwa kuwa, wapo wenye ujuzi. […]

Serikali: Tumepokea maoni ya wadau wa habari
NAPE Nnauye, Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari amewahakikishia wadau wa habari kwamba, serikali itakamilisha mchakato wa mabadiliko ya vipengele vya sheria ya habari. Kwenye kikao chake na wadau wa Haki ya Kupata […]

Wabunge, CoRI wateta mabadiliko sheria ya habari
WADAU wa Haki ya Kupata Habari nchini (CoRI), wamekutana na kufanya mazungumzo na baadhi ya wabunge, kwa lengo la kuongeza ufahamu kuhusu mapendekezo ya mabadiliko ya sheria ya habari. Kikao hicho kimefanyika jijini Dodoma tarehe […]

Nape: Tupo tayari
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema, serikali ipo tayari kukamilisha mchakato wa mabadiliko ya sheria ya habari. Akizungumza na uongozi wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) na Wadau wa Haki […]

Wavuvi waandaliwe kama jeshi la akiba
Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) limeshauri wavuvi wote waandaliwe kama Jeshi la Akiba la Uokozi kama ilivyo kwa Mgambo kwenye Jeshi la Nchi Kavu. Kauli imetolewa leo tarehe 9 Novemba 2022 na Deodatus Balile, Mwenyekiti […]