
News
Wahariri watembelea kiwanda cha mbolea
WAHARIRI wa vyombo vya habari nchini, wamefanya ziara katika Kiwanda cha Kuzalisha Mbolea Asili cha ITRACOM, kilichopo nje kidogo ya Mkoa wa Dodoma. Ziara hiyo imefanyika leo tarehe 11 Januari 2023, ikiwa ni siku baada [...]